Samtaimu wanapendelea waziwazi ushabiki tuweke pembeniWale marefa sio wabongo bwana kwa hyo tulishinda kihalali
Hiyo video ni show tuUmepuyanga mdau ...sikia wimbo kwanza
Yesu usinkumbushe yule refa aiseee hakunaga tusi sikuwa nampa ,yule alizidi bwanaSamtaimu wanapendelea waziwazi ushabiki tuweke pembeni
Kumbuka Howard Webb alivyokuwa anatupa penati feki Man Utd
Msimu uliopita Gunners ndio mliongoza kwa kubebwa tena dakika za majerushi milpewa penati/maholi tata au magoli ya ushindi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Du nn ss?Duuuuuh
[emoji1] [emoji1]Yereeeeeeeeeewiiiiiii
[emoji106]Asantee mpendwa wa binamu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106] najifunza utundu na mieAhsante cameralady
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntakuchapaaSisi tunachambu mpira wewe unachambua mapenzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
Ndio hivyoYesu usinkumbushe yule refa aiseee hakunaga tusi sikuwa nampa ,yule alizidi bwana
Pole yaooUpdates. ....
JOTO KALI IRAQ: Waziri mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi leo, atoa likizo kwa wafanyakazi wa serikali, kufuatia joto kali lililofikia Sentigredi 50.
Mbali na Iraq, juma lililopita joto hilo limeshuhudiwa pia kwenye bara la Ulaya ambalo limesababisha watu kadhaa kupoteza maisha...
Jifunze pia kukojoa ukiwa umesimama[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106] najifunza utundu na mie
SawaaUSHIRIKIANO: Rais Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na tajiri namba moja duniani, Bill Gates alipomtembelea Ikulu, jijini Dar Es Salaam.
Bill Gates yuko nchini katika ziara ya kukagua miradi ambayo taasisi yake ya Bill and Melinda inasaidia ukiwemo wa kupambana na magonjwa yasiyopewa kipaumbele....
Poa poaNdio hivyo
Tukutane baadaye
......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mmependeza lakiniTuheshimiane
Acheni uzwazwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Una fimbo ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntakuchapaa
Si ndio apo sasa!Jamani ss tunune lkn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dhambi ya uongo inakutafunaaMlipendezaa dadeeeekiiiii
OkHiyo video ni show tu
Sikujua km huo wimbo ushaachiwa
.....
Mautunduuu yakinogaaa binamu atakuwa wa VIP[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106] najifunza utundu na mie
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Jifunze pia kukojoa ukiwa umesimama
Itakuwa poa zaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
......