Makapuku Forum

Aiseee nitatoka tu mbona kiria alitoka

Ila haya mambo haya hivi Kuna ambaye hajawahi onja hata Kofi kweli
Cuzoo ndoa sio ya kuiga mpenzi sababu kiria kafanya vile na we hivyo pambana na hali yako tu utakayokutana nayo upande wako kiria ni mzima yule ndoa ya mwanzo haina hata miezi michache kaachika anamuacha kaka wa watu analialilia tu masikini kwa upendo alionao kwake ujue watu wanakosea kitu kimoja kabla hamjaoana ebu chunguzaneni kwanza mjuane mda flani mengine yafuatie kila mtu amjue mwenzie mapungufu yake

Cuzoo kwenye kupigwa hapo kila mtu ataongea lake ila mwanaume ni mwanaume tu na kupigwa hata kibao lazima ukionje
 
Kweli atii tatizo hawajuani kwa Muda mrefu wengine kwenye uchumba tu tushachezea vibao vya kutosha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…