Dada yako kakutafuta jana, hata hukumuaga[emoji85] [emoji85] [emoji85] sijaenda baba d jana nilichelewa kulala si unajua nilienda nyama choma
[emoji1] [emoji1]Mimi hapa anko niko macho! Au nimechelewa kujibu? Si unajua mimi ninakuwaga wa mwisho kujibu
Ntapatajee mkuu ...asantee
MmeanzaaDada yako kakutafuta jana, hata hukumuaga
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Duh.. umeamka na kifungh cha mathayo halaf church hujaenda aahh.. vibaya hvyo bibie..[emoji3] [emoji3]
Nilivyokuwa naisoma ile mathayo nkajua wewe kanisan ndio ulikuwa wa kwanza kabsa, mshka funguo wa mlango alikukuta ww njee..[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo katika Historia
1978 - Katie Price anazaliwa.
Ni mwigizaji na mwanamitindo toka nchini Uingereza.
[emoji125] [emoji125][emoji3] [emoji3] [emoji3] njoo pm
Mmh Baba D jamanAsantee mkuu ningelisema mm leo ningelinuniwaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana week yupo kwa dpNa usiniambiee hujambadirisha kiboxxer
Ameen [emoji120] makaveli
D na Baba yake wazima sana shemelaNzuri kabisa shemela wa mimi
Kina JJ na mama yao wako poa kabisa
D na baba yake hawajambo
Huko nisingemnunia
Shemela wangu mie kwenye kitengo chako cha uchocheziLushoto moja hiyo
AiseeNi demu mapepe
Dwight Yoeke mpenda totoz alujipigia sana na kumpa mimba bahati mbaya akazaliwa mtoto asiyeona na hapo akaingia mitini kama digidigi
......
Kifua na kiwiliwili unbalnced equation..Ni demu mapepe
Dwight Yoeke mpenda totoz alujipigia sana na kumpa mimba bahati mbaya akazaliwa mtoto asiyeona na hapo akaingia mitini kama digidigi
......
Loooooooh kashakuwa superstar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana week yupo kwa dp
Mmh alinitafuta jana hivi dada si angenipigia jamaanDada yako kakutafuta jana, hata hukumuaga
Ningekupa bana Baba D huko siwezi kukununiaNtapatajee mkuu ...asantee
Alisema halotel haipatikaniMmh alinitafuta jana hivi dada si angenipigia jamaan