Makapuku Forum

[emoji85] [emoji85] [emoji85] sijaenda baba d jana nilichelewa kulala si unajua nilienda nyama choma
Duh.. umeamka na kifungh cha mathayo halaf church hujaenda aahh.. vibaya hvyo bibie..[emoji3] [emoji3]

Nilivyokuwa naisoma ile mathayo nkajua wewe kanisan ndio ulikuwa wa kwanza kabsa, mshka funguo wa mlango alikukuta ww njee..[emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaan nisamehe tu makaveli
 
Asantee mkuu ningelisema mm leo ningelinuniwaa
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…