Muziki wa Wapendanao
Wakati mwingine unapokumbushwa kuwa umesahau inabidi ushukuru, nami ninakushukuru wangu uliyechukua moyo roho natembea nayo
husna muba kwa kunikumbusha kuhusu wimbo huu. naamini msomaji unajua wimbo huu unaenda kwa nani. Tuburudike wote