Makapuku Forum

8/James Patterson Alizaliwa Machi 22 mnamo mwaka 1947
Huyu ni mwandishi mahiri wa riwaya na vitabu mchanganyiko
Yaani anajua kusimulia katika namna rahisi kama yule mtu wetu wa Jf hivyo ukishindwa kumwelewa basi kichwa chako kimejaa tu matatizo yako ya kimaisha
Ukisoma vitabu vyake ni km unamuona anakusimulia Kitabu chake funika bovu ni Along Came A Spider ila jamaa ana vitabu kibao vizuri kama unapenda kujisomea vitafute
Anajua !!!
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…