Makapuku Forum

10/Danielle Steel
Alizaliwa Agosti 14 mnamo mwaka 1947
Ni mtoto wa baba Mjerumani mwenye asili ya Kiyahudi na mama Mreno
Alikuwa ni mtoto wa pekee na kulelewa huko Ufaransa
Alipiga msuli ngazi ya Shahada katika New York University hovyo ni msomi anayejua akifanyacho
Ni mkali wa vitabu vya mapenzi & mahusiano
Kitatu chake cha The Long Road Home kilichokuwa kikielezea manyanyaso ya msichana mmoja nyumbani kwao ndo kilichobamba zaidi duniani na kumtambulisha

Ameuza vitabu/nakala zaidi ya nusu bilioni yaani 500,000,000+
..........
 
Hii topic nzuri sana..

Manake mimi ni mdau wa vitabu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…