Unatakiwa uniite hiv..Eng jambilo.Ha ha haaa ndugu/bwana/prof shemeji.. nitafanya upembuzi yakinifu kwa kuwa ni dhahiri sasa nipo kwenye mpango mkakati wa kurasimisha hili suala ili kukabiliana na changamoto za Milenia!
Usisahau kesho kunipa jibu langu ewe binti mzuri!Laleni watoto wazuri. Kesho shule
Jibu lipi tena kijana?Usisahau kesho kunipa jibu langu ewe binti mzuri!
Hivi lile jumba lenye kumbi 2 za disco ghorofani Tabora mjini laitwaje?Ha ha haaa ndugu/bwana/prof shemeji.. nitafanya upembuzi yakinifu kwa kuwa ni dhahiri sasa nipo kwenye mpango mkakati wa kurasimisha hili suala ili kukabiliana na changamoto za Milenia!
Nataka tuchepuke mimi na wewe, ila mumeo asijue.Jibu lipi tena kijana?
Cjui ni lale naona zangu vale+jimema wote wanafukuziwa mbele zanguUsisahau kesho kunipa jibu langu ewe binti mzuri!
Ya kukataliwa na wanawake wote.Na liote ndoto mbaya
Unatakiwa uniite hiv..Eng jambilo.
Yesu na maria na yosefu!Nataka tuchepuke mimi na wewe, ila mumeo asijue.
Kabisaa!Ya kukataliwa na wanawake wote.
Hahahahaa...
May he Rest In peaceRIP kijana youngblood
Hivi lile jumba lenye kumbi 2 za disco ghorofani Tabora mjini laitwaje?
Nnalo basiiiDadake mie nambie
Kirefu chake sijui ila ni elimu ya msingi kwa wale walioikosaMemkwa ndio nini tena Jimena?
Pole.Cjui ni lale naona zangu vale+jimema wote wanafukuziwa mbele zangu
Bila kumsahau mtoa taarifa Malaika Gabreli.Yesu na maria na yosefu!
Pouwaa sister.Pamoja sana