Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,334
- 68,404
Pumzika kwa amani Kaka Martin, Daima tunakukumbuka.Leo katika Historia
2006 - Martin Mbawala anafariki Dunia.
Alikuwa ni classmate wa kapuku mwenzetu Mussolin5 vidonda vya tumbo vilimuondoa Duniani.
Leo tunaadhimisha miaka 11 toka auache mwili, pumzika kwa amani Kaka.
Asante JJ, ubarikiwe!Sina la ziada, tukutane tena kesho hapahapa.
Kwa udhamini wa Miaka 11 ya kifo cha Martin Mbawala
Niite Jimena Jimenes
Ciao
Pamoja MkuuR I P ...na pole kwa dikteta kwa kuondokewa na rafiki yake
Pamoja MkuuRIP Martin
Obe. Asante sana mkuu. Moyo wangu ni mweupe. Na wengine wote niliowakwaza katika jukwaa hili naomba mnisamehe wakuu. Kwangu mimi sina bifu na mtu hapa. Mungu Awabariki sana !!!Shimba, nilijua tunafanya utani, na huwa napenda utani na ilipozidi upande wako nilijisikia vibaya maana KF ni sehemu nzuri kila mmoja akiwepo.
Na mind you, kukosoana ni sehemu ya kueleweshana na makosa huwa na kosa pia.
Binafsi sijaweka wala sina kinyongo na kilichotokea as I know wewe ni gentleman. Tunakosea wote , kwangu sina nongwa na kama ulikwazika nami let's move on.
Tuna mengi ya kuifanya KF kuwa Jukwaa bora na hii inawekana tu ikiwa utakuwa mmoja wa member wake.
Pamoja sana
Katibu wa weka pichaAsante JJ, ubarikiwe!