Acha mbwembwe ww
Mi nimetoa povu au nilikuwa nawanyamazisha vidomodomo wanazi wa Man utd
kwanza ht Manyau tufungwe 10 huwa sijali
RUDI KASOME UPYA
...................
Tafadhali moderator na invisible naomba mniambie huyu Amenn ni She au He! ili nijue mapema,maana nataka kutupa nyavu zangu baharini naogopa nisije nikavua nguva.