Kwa niaba ya bible
Jumapili siku ya kwanza
Jumatatu siku ya pili
Jumanne siku ya tatu
Jumatano siku ya nne
Alhamisi siku ya tano
Ijumaa siku ya sita
Jumamosi siku ya saba
Ndio nimemaliza ya pili sasa hivi asante sana aisee huyu dr asha hawezi kujitoa kwa mr x ila huyu mr x ni naniii na kule kwa zai alipompora babu bubu mkewe na mtoto wake hii story nayo kuna mda inachanganya