Nimekosea huo mwakaAsante Bitoz
Huo mwaka aliozaliwa kanaonekana kabinti kumbe kibibi gagula
Sawa hamna shidaNimekosea huo mwaka
Pia nimeangalia vizuri sijaupata mwaka wake wa kuzaliwa
Wasauzi kwa kuficha miakavni shida
....
Asante bitoz kwa kumi kubwa1/Noni ZondiSijajua mwaka aliozaliwa huko kwa Rais mkware na taifa kinara kwa Virusi Vya Ukimwi duniani
Huyu ni celeb wa huko Afrika Kusini
Anaishi pia jijini London
Hujishughulisha na mambo mengi ya Sanaa ikiwepo muziki na vipindi vya luninga.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane Jumatatu
Mwisho
..............
...nina mapengo, labda nitafuniwe kwanza ndo naweza kunywa , itafunwe halafu ipozwe. Na toothpick isisahauliwe, maana unaweza kuanza kuinywa kumbe kuna vilevivuzivuzi havikusafishwa vizuri.
Supu ya kongolo ni nzuri sana ila isafishwe vizuri vile vimanyoya (vivuzivuzi)huwa vinakera
Yuko vizur kukumanga1/Noni ZondiSijajua mwaka aliozaliwa huko kwa Rais mkware na taifa kinara kwa Virusi Vya Ukimwi duniani
Huyu ni celeb wa huko Afrika Kusini
Anaishi pia jijini London
Hujishughulisha na mambo mengi ya Sanaa ikiwepo muziki na vipindi vya luninga.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane Jumatatu
Mwisho
..............
Supu ya nini hio?Kafurahia supu huyoo
Akikujibu Usisahau kunitag mjukuu wangu.Basi me ndio nipo hapa ni supu ya nini kwanza
Mi nilifikiri ya pwezaYa mbuzi eti
Sawa hamna shida
Asante bitoz kwa kumi kubwa
Pamoja sana wadauYuko vizur kukumanga
Wewe mjukuu wa watu usijizeesheWengine tushakuwa vibibi gagula sie
Wewe ni wangu tu babe we be long together, mimi ni wako tu babe we belong togetherMuziki wa Wapendanao
Hakuna ubaya kufanya unachoamini katika moyo wako kuwa ni sahhi, kila mtu ana belong kwa mtu wake. Chaguo la wapendanao leo ni kwa hisani ya Shunie na lee empire
Tufurahike pamoja nao
Mnaosemaga mapenzi sio dawa njooni mbishe hapa, yaani nyimbo mbili kwa mtu mmoja, its like moving from dedication to deadication
Tufurahike nao zaidi na unapoagiza combo jua kabisa unapata a meal + a drink
Wameshajibu utakutana na jibuAkikujibu Usisahau kunitag mjukuu wangu.
Anafikiri humu tunapost pumba hivyo hadi awekee source
......
Na kwako piaPamoja sana wadau
Tukutane kesho
Usiku Mwema
.........
Aah wap wanafaidi nin hasa kamandaWatu wanafaidi ehee