Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Silijui mie VP kwani?!Eti jukwaa la mwisho ni lipi hilo?
Kabembee tu na Shululu wakoDa ngoja mie nije kubembea
Pia anaimba9/Omotola Jalade Ekeinde
Alizaliwa Februari 7 mwaka 1978
Huyu pia ni mcheza filamu za Kinigeria huko Nollywood
Siyo tu mcheza filamu bali pia ni nyota/superstaa huwezi mlinganisha na akina Johari wa Bongo
Baadhi ya muvi alichocheza na kutamba vilivyo ni
Ije,
A Private Storm,
Mortal Inheritance
& Last Fight to Abuja
Ana mpunga na biashara za kueleweka
............
Hata mm nakiheshimu sana coz kinajua kunipa raahaNinakuangalia tu, kigongeo changu kina heshima sana.
Hivi jamaa hamuelewi kuwa ile timu ninya anko?
Good to see you
Mukule kwa macho sasaaNa kweli mkuu
Leo vitu vya uzuri wa dunia
Hata mtaasisi Obe ataleta dance hall
Nimeonaaa binamu sikuwa update siku nzima ....jamaa karud kweliii....hapana, aliishika kwa masaa tu kutegemea na soko la jana. Bill bado ndo kinara.
Ila kwa hali ilivyo jamaa ataweza mpiku Bill in no time kwa kuwa bado biashara yake anaiendeleleza
....wallakwataLahaula
WooooooozaHata mm nakiheshimu sana coz kinajua kunipa raaha
Hongera kwa 250kSasa nimeelewa
sorry Nilikusudia ShededeKabembee tu na Shululu wako
Asante kwa ufafanuzi....hapana, aliishika kwa masaa tu kutegemea na soko la jana. Bill bado ndo kinara.
Ila kwa hali ilivyo jamaa ataweza mpiku Bill in no time kwa kuwa bado biashara yake anaiendeleleza
Ukoje mkono wa birikahakupiiii
Ana mkono Wa birika huyooo
6/Daniella Okeke
Amezaliwa Machi 26 mwaka 1987 huko kwa Muhammadu Buhari
Huyu ni binti wa Kinigeria
Ni msanii chipukizi wa Nollywood anayewatetemesha akina Rita Dominic alianza na spid kama ya Jennifer wa Kanumba
Filamu inayomtambulisha ni Lagos Cougars ila pia kuna Luke Of Liers
..............
Zitaendelea baadaye
Asante, shemela shunie ukae karibuTOP TEN
Week end huanza Ijumaa hivyo leo sitajadili siasa wala uchumi au mambo ya elimu ni burudani,udaku au starehe kama kawa
Hapa Bongo hakuna asiyemjua Giggy Money(Muuza Supu) ana mzigo wa nguvu.....
Sasa leo tuwaangalie wale wasanii maarufu kumi wanaosifika kwa kujazia
Hapa hakuna akina Masogange kwenye hii list maana wanaongelewa ambao ni maarufu zaidi hivyo kigezo cha kwanza ni umaarufu wao
Karibuni
..............
Nzuri mkuuHabari za Jioni makamandaa, hope mko bomba siku ilikua ndefu ila Imeisha vzr..
Nipo hapa shemela kuna nini tena jamaanAsante, shemela shunie ukae karibu
Nenda tu ofisini kwakeAnauza supu tsh ngapi?