Makapuku Forum

Hizo dagaa nnazokula nimerdhika nzo

Dagaa zina madini ya chuma, afu ukizitia na nyanyachungu basi joto lile la kupendeza kuingiliana maungoni sio kama wanamieleka. wanaingiliana maungoni wamevaa chupi halafu ukiuliza eti wanagombea mkanda?

wanagombea mkanda huku wamevaa chupi!!

Endelea kula dagaa mpenzi wangu
 
Leo katika Historia

2000 - Ndege ya Ufaransa " Concorde Air france flight 4590 " inapata ajali uwanja wa ndege wa Charles De Gaulle jijini Paris na kuua abiria 113.

Ilikuwa na safari kutoka Paris kwenda New York
Wakati ikiruka kwenye njia ya ndege tairi likapata hitilafu kisha tenki la mafuta kupasuka
....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…