Kabla sijakusalimia kwanza nikuulize swali. Umeamka salama mjomba wangu?
Si unajua njia ya kwenda kazini lazima uchepuke, unachupukia ile njia ya kwa kina Pili halafu ndo najiandaa na michepuko yangu wiki hii yote. Hesabu za michepuo zinahitaji maandalizi. Mimi ni mwalimu wa hesabu, wewe mjomba unajua