Maskini Jf !!!Watu wazima wanafanya mambo kama watoto kisa id fake waache wanyoshane mmbea huyo akomeshwe tu
Sisi tunayapenda hayohayoTooooobaaaaaa walahiiiiiii.
Mbona kama hayana ushirikiano
Bora umuulize,me ntampeleka kwa mjumbe ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Baba D umeanza ujue hayana ushirikiano kwa nini
Mke mwee jamaan usimpeleke mume wangu kwa mjumbe bado namuhitaji ujueBora umuulize,me ntampeleka kwa mjumbe ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi tunayapenda hayohayo
Bora tuendelee na kf yetu wajinga wakafie mbele hkoMaskini Jf !!!
Majukwaa yanazidi kushuka hadhi
[emoji117]Jukwaa la siasa upuuzi mtupu
[emoji117] Jf doctor&Law+ Educarion yapo kifo cha mende
[emoji117] Jamii Intelligence linapumulia mashine(watu wanaongea hadi mapenzi)
[emoji117] Jukwaa Utanashati na mitindo nililikuta swaaf nikawa naabdika thread now lipo hoi
[emoji117] Chit chat nayo ishavamiwa unaweza kudhani watu ni matahira kwa jinsi wanavyopost makorokoro
[emoji117] Kuna mtu kalibinafsisha na watu wamemsusia aendelee kuliua
[emoji117] MMU lilishajifia now watu wanamalizia kulizika tu
Kiukweli Jf ya sasa imejaa vituko na ushamba na mashindano ya kijingajinga + watu kuzinguana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
.......
Anaanzaje kusema majina ya watoto wetu hayana ushirikianoMke mwee jamaan usimpeleke mume wangu kwa mjumbe bado namuhitaji ujue
Hapana swty...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Baba D umeanza ujue hayana ushirikiano kwa nini
Basi mkee jaman naomba umsamehe mume wangu kwa niaba yangu jaman [emoji134]Anaanzaje kusema majina ya watoto wetu hayana ushirikiano
[emoji23][emoji23] Baba D ujue nakuombea msamaha apa unataka kupelekwa kwa mjumbe na mke mweeHapana swty...
Ebhu waulize nani wa kwanza
Yapi sasa hayoSisi tunayapenda hayohayo
Thread nyingi siku hizi ukiingia ni pasua kichwa tu ...unaweza kujikuta unaharibu siku yako bure bora kuzipotezea jumlaBora tuendelee na kf yetu wajinga wakafie mbele hko
Kisa nimesema ukweliiMke mwee jamaan usimpeleke mume wangu kwa mjumbe bado namuhitaji ujue
Kuna nnBora tuendelee na kf yetu wajinga wakafie mbele hko
Kwan uongoo??Anaanzaje kusema majina ya watoto wetu hayana ushirikiano
Akwendeeee zakeee ...[emoji23][emoji23] Baba D ujue nakuombea msamaha apa unataka kupelekwa kwa mjumbe na mke mwee
Watu wanatoleana siri huko mmuKuna nn
Baba D lakini mbona majina yana ushirikiano jamanKisa nimesema ukwelii
[emoji3][emoji3][emoji3]si ndio hao mapacha kwa avatar yake Baba D kawawekaAkwendeeee zakeee ...
Hivi si alisema mapacha au sikumbukii