Makapuku Forum

Mie ndio mana team uzalendo ilinipitia kushoto
 
Leo katika Historia

1892 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Mfalme wa Ethiopia, Haile Selassie. Pia ni siku ya Rastafari duniani.

Jah Rasta Fari and I [emoji111]

Sijawahi kuwachukia marastafari sababu tu ya bangi zao....wengi hawana makuu na mtu
Wakati nasoma nilikaa hosteli chumba cha watu wawili mwenzangu alikuwa ni mvuta bange na mnywa pombe aliyetukuka ila hakuwa na ukorofi wowote wala umbea umbea tukaishi vizuri na hadi leo bado ni marafiki tunaoelewana japo tupo mikoa tofauti
Ila chumba cha pili kulikuwa na "mcha Mungu" mkorofi aliyepitiliza na ana mdomo kama kasuku sikumpenda kantu
...........................................................
Napenda kumhukumu mtu kwa matendo anayonifanyia au yanayonigusa/kuniatiri/dhuru moja kwa moja na siyo mambo binafsi ya mtu....kamwe hayanihusu

.
Bongo tunaye baba Tunda(Afande Sele) nasikia anakula nyama sanabu Ni Mtazamo wake binafsi na katumia Darubini kali kujipima
......
 
Wow! Mr.obe you made my day thank you.....


post using my macbook air using jamiiforums app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…