[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] Lushoto hakuendesheki baiskeli... Ni up and down.
[emoji3][emoji3][emoji3]we sio babu yako eenhShikamoo babu yke Shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mie naona[emoji23] [emoji23] [emoji23] kanakudanganya akoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjukuu mwee woiiiiMarahaba hujambo mjukuu mwee
Binamu kumbe na we unajua kidhungu kama mzungu wetu wa kapuku hivi umemaanisha nini hapoo lakini jamaanWadhamini wa Leo
Nawashukuru sana kwa kuwa hapa na zaidi kuendelea kuwa hapa, sasa tupate mapumziko kidogo ya wadhamini.
Na leo itakuwa ni different a bit as our own buddy, shedede is sponsoring this song, you can sing if you want as we don't talk anymore.
I hate to guess if this choice has something to do with him being shunned (not Shunie ) out with someone I am in elo o vii ii. NOMYB everyobody has their way to cope with stress. Enjoy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ahahaha, umechekea nini? Au kwa kuwa ni mweusi na nimevaa shati jeusi,na saa nyeusi yaani nakuwa naonekana kama kivuli
Binamu asante sanaaaa ujue huku nilipo unaniburudisha sanaMapumziko Yanaendelea.
Baada ya kuwapata wadhamini wetu hebu tuburudike kidogo kwa kupata kinywaji cha baridi, offer hii inatoka kwangu mimi na husna muba , ukiagiza agiza kinywaji cha ndani (local brand) ukiagiza imported brand utajilipia
Tunakupenda sana mdau, na nikutakie usiku mwema
Shem akee karibu sana kiwanja cha nyumbani[emoji39] [emoji39]
[Color= yellow]Triple A[/color]
WoyoooooooooVyema sana na mm na moenzi wangu tuko poa pia
Madame S
Au ukipendwa ringaaaWahenga tunasema"ukipendwa pendekaa"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba niletewe togwa mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora umeniulizia mke mweeMbina unjiquote mwenyewe
Utasema asante mke wangu upambane na hali yako tu
Asante mwaya mpendwa wa binamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mwee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wizard sumbawanga woiiii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nzungu wizard
Hafu wewe mbona at ukunistua sasa mlikua mob au?Nisharudi miee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Utasema asante mke wangu upambane na hali yako tu