Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Binamu yupo likizo mbona kaja darYe yuko ntwaraaa
Binamu yupo likizo mbona kaja darYe yuko ntwaraaa
Kakwambia wewe mimi kanificha...!!!Binamu yupo likizo mbona kaja dar
Mmh hajaniambia yeye baba d ndio aliniambia nahisi amenitaniaKakwambia wewe mimi kanificha...!!!
Ni bora nikaitafute faraja kwa mdng[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Msasani kubwa nitosheleze basiMsasani
AiseeZIJUE IMANI ZA MATAIFA
Wahindu wana miungu 33 na huwaenzi kwa njia mbalimbali. Mjini Kolkata, India, sanamu za miungu zinatengenezwa kwa ajili ya sherehe kubwa ya "Diwali" inayofanyika Novemba ambapo sanamu za miungu zinatumbukizwa kwenye mto Ganges unaoaminiwa kuwa mto mtakatifu.
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke mweee mambo,mama mchuchu hajamboUtamuua binamu yangu usitufanyie hivyo jamaan
Hajambo mke mweeMke mweee mambo,mama mchuchu hajambo
Hongera cie tunasubiri neema za mbududaMke mwee jana usiku nimekesha wassap mpka sa 8 kumalizia episode ya 7 hatimaye nimeimaliza tutaonana kwa lege ikiwekwa ya 8
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jumatatu nimeona kasema poleni jamaanHongera cie tunasubiri neema za mbududa
Ndio nimeingia jamaan halaf bitoz mie naitwa shunie ujue jaman
TupooooWatu wakijaa mnishituee .
Tunaendlea kuwa na subra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jumatatu nimeona kasema poleni jamaan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wahenga walisema subira yavuta kheriTunaendlea kuwa na subra
MmmmmhMmh hajaniambia yeye baba d ndio aliniambia nahisi amenitania
Ohoooo hiyo kazi mi siiiwezi ila ulizia tu utafikaMsasani kubwa nitosheleze basi
Ila mbududa anajitahidi kwa kweliHongera cie tunasubiri neema za mbududa
Ingooo nikugambileeWatu wakijaa mnishituee .
Unaguna nini tena mpendwa wa binamu kumbe unampenda binamu yetu eenhMmmmmh