Makapuku Forum

Mimi nilisema tu kuwa alikimbizwa basi nikaishia hapo, na uzuri alikuwa anakimbia kurudi nyumbani boksa kashikiria mkono wa kushoto, shati na suruali sijui aliviacha wapi?
Kwahiyo ameporwa baba d au ndio aliamua kujiteka na mdogo wa mama ashura binamu jaman
 
Asante kushukur aunt, baba D kakimbia sana leo uliposema afanye mazoezi akaenda kule (sipataji usije ukaninyima ile safari) bila taarifa sasa kakimbizwa sana. ila anko wangu ana mbio jamani, sijui ndo ngedere wamempa mazoezi😀
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…