Makapuku Forum

[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] binamu yangu mimi apa na baba d santeeeeeeeee

Asante kushukur aunt, baba D kakimbia sana leo uliposema afanye mazoezi akaenda kule (sipataji usije ukaninyima ile safari) bila taarifa sasa kakimbizwa sana. ila anko wangu ana mbio jamani, sijui ndo ngedere wamempa mazoezi😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ule ubonge na mkitambi wake hivi hajajikwaa kweli baba d binamu acha aende tu lakini mwisho wa siku binamu anarudi nyumbani
 
...hakyanani haya sijayasema mimi, akija hapa mimi mnyonge wake ndo nitaambiwa nimeyasema. Naamimi mashahidi wapo kuwa wewe ndo umesema

Ila sina hakika kama kuna hata mmoja atakuwa upande wangu
 
Binamu usikwepe jamaan umeyasema wewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…