Makapuku Forum

[emoji134] [emoji134] uongo wako huo Obe me naongeaga kinyaki na kikinga mm na vingereza wapi na wapi


ha hahahahaha, naweza nisiwe najua kukiongea ila kukisoma najua, maana huwa nasoma maneno mara sister, oh my brother sijui home. Hayo maneno ni ya kinyaki na kikinga haya jamani? Au wakinga na wanyaki wa Londoni
 
ha hahahahaha, naweza nisiwe najua kukiongea ila kukisoma najua, maana huwa nasoma maneno mara sister, oh my brother sijui home. Hayo maneno ni ya kinyaki na kikinga haya jamani? Au wakinga na wanyaki wa Londoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu nakugawa bureeee
 
Asante bitoz kwa kumi kubwa
 
Muziki: Simba Akinyeshewa Usidhani Paka

Ni muda mzuri mheshimika sana Kapuku mwenzangu ambaye siku ya leoo Ijumaa, TGIF nachelea kusema sijachelewa kukusalimia. Unajua kabisa ni lazima nikusalimie maana wewe ni member muhimu humu na unalifanya jukwaa hili kuwa zuri sana. asante kapuku wewe unayejitolea muda na resources zako nyingine kulifanya jukwaa hili liwe Jukwaa la kushindanishwa na majukwaa mengine. KF haijitangazi, inatangazwa na sababu ni kuwa wewe upo hapa. Endelea kuweka input tuwe wa kipekee.

Naamini tumekuwa na wakati mzuri, binafsi mambo ya casual friday ndo ilikuwa na hadi muda huu bado niko naifurahia Ijumaa, unaweza usifanye kama mimi maana tunatofautiana muda, mtaji na wanaotuzunguka. TL sasa hivi amezungukwa na manjagu amehakikishiwa usalama wake. Kuna mambo sio ya kuchekea, kwa sababu huwa hayaishii kwa mtu mmoja tu, wakimaliza kwake watakuja kwa jirani yako na kisha watakuja kwako, kondoo hasifiki kwa upole.

Muziki sasa, leo tumekuwa na mengi humu, asanteni sana kwa wote mliotuamsha kwa kila kipengele, na zaidi asante kwa wote mliochangia kwa kila kimoja iwe kwa kusoma au kuandika. Kusema asante nakurudisha miaka michache nyuma wakati ambapo muziki wa studioni ndo unatamba na zipo nyimbo zilizobamba wahenga wa leo hadi nyie wahenga wa kesho.

Muziki utajieleza zaidi

Nakupenda kapuku mwenzangu maana unalifanya jukwaa hili kuwa mahala pazuri pa kutembelea


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…