Makapuku Forum

5/Bryan Williams
Ana umri wa miaka 45
Anajulikana zaidi kama Birdman ila hana jeuri ya kuruka angani kama anavyofanya Batman
Huyu anavuta mkwanja kutokana na mikataba yake minono aliyosaidi mfano Cash Money ,pia ana biashara kibao pamoja na majumba ya kifahari : Ana utajiri wa USD 230 milioni
.......
 
4/Curtis James Jackson III Nani asiyemfahamu huyu Mswahili? Anajiita 50 Cent ila ana miliki dola badala ya vijisenti vya Change anavyotusumbilia wabongo
Ana umri wa miaka 38
Utotoni alikulia katika umaskini uliotopea ikiwemo kulelewa na bibi yake.
Anewahi kutandikwa risasi lakini akapona. Ana dili kibao za kuvutia mpunga
Ana utajiri wa USD 240 Milioni
......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…