Makapuku Forum

Anapenda bangi kupitiliza kila mtu na chaguo lake hongera zake aisee
 
8/Kanye Omari West Abapendelea kujiita Yeezus
Ana umri wa miaka 36
Ndiye kidume wa Kim Kardashian na baba mzazi wa North West na pia wana mwingine na haitarajiwi kuongeza kutokana na matatizo ya kiafya ya Kim
Anaingiza pesa kutokana na mikataba aloyosaini na makampuni makubwa kama bile Nike,Adidas na Louis Built on
Pia anajishughulisha na biashara kibao Ana mkawanja unaokadiriwa kuwa USD 110 milioni
..........
 
7/Percy Robert Miller[,/b] Anajuliksna pia kwa jina la Master P alikuwa akijishughulisha sana na uprodyuza
Huyu ni Master P na siyo yule adui wa Zay B aitwaye Sister P
Ana biashara kibao
Pia anatoa hisani ya chakula kupitia P Miller Food Foundation Ana umri wa miaka 44
Utajiri wake ni USD 170 milioni
...........
 
Hivi ni huyu ndio ana mtoto wake nae ni mwanamuziki
 
Nikishika Dollar mia natambaa wakati wengine wana mamilioni!..
Eti ni Sawa na shingap hizo kwa pesa za koroma
 
6/Marshall Bruce Matters III Anajulikana pia kama Eminem au Slim Shady.... ana umri wa miaka 41
Anasifika kwa tabia yake ya ukorofi hata kwenye video za nyimbo zake
Inakadiriwa kuwa na utajiri wa USD 190 Milioni
.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…