Makapuku Forum

TOP TEN
Baadaye nitabanwa hivyo nashusha mapema zen jioni kuchat nitaweza ila siyo kuweka mada labda tu Did U Know maana ni kutupia picha tu
Km kawa Ijumaa ndiyo kumi kubwa ya kumalizia wiki hivyo huwa tunaenda kiburudani zaidi
Leo tuangalie wasanii 10 wa muziki wa kufokafoka(hip hop) wenye mkwanja/mlunga mrefu size ya urefu wa treni
.......
 
10/Dwayne Michael Carter Jr Ana umri wa miaka 31
Anajulikana zaidi km Lil Wayne hakuna mtu anayefuatilia muziki wa mamtoni asiyemfahamu
Anaingiza mkwanja mrefu kutokana na kazi yake ya usanii pia anajishughulisha na biashara mbalimbali mfano mavazi n.k : Anakadiriwa kuwa na utajoli wa USD 100 milioni
.........
 
Karibu
 
Asante ankali kwa historia
 
9/Calvin Cordozar Breadus Jr Anajulikana kama Snoop Dogg
Ana tabia kibao za kikorofi pia ana watoto kibao...jamaa anapenda bangi kupitiliza

Ana umri wa miaka 42
Anaingiza mkwanja kutokana na biashara zake nje ya muziki ikiwemo kampuni ya filamu iitwayo Wash and Bones,pia ana kampuni ya mavazi n.k Ana utajiri unaofikia USD 110 milioni
........
 
Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…