Makapuku Forum

Hahaaa
Kazi unayo aisee Mm nipo lazi niache kula nicheki muvi la kibabee..
Kweli watu tumetofautiana nishajilazimisha kufuatilia mpira ila wapii
Mpira huwa nafuatilia mechi za Man Utd tu na kidogo Yanga
Usijali mpira ukiisha nitawaletea matokeo na video ya magoli

Tukutane kesho mdau
......
 
ha hahahahaha, hiki kicheko nimeandika mimi, maneno yanayofuata sijaandika mimi na huna haja ya kudhani nimeandika mimi maana naongelea uzoefu sijafanya utafiti

ukiwa na kitambi unakuwa kit.ombi sana, utafiti ni wa anko wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Video imekataa kuplay

Asante Lee kwa somo zuri

Swali langu je Y inahitaji style gani?
 
Anhaaaa mm nilikua ninaishi pale kwenye ghorofa linalo angaliana na hiyo baa chini kuna maduka ya nguo..

Weka picha tuone au unaogopa kutekwa na sisi..


Oh! Kumbe ulikuwa karibu sana na hayo maeneo ya kimwili zaidi mida ya usiku. Nilikaa mitaa kama minne toka hapo, kwa hiyo ni mwendo wa kuchukua boda boda tu najisogeza. Picha nikiwa maeneo hayo sina labda nikupe namba ya dereva wa bodaboda (FYI bodaboda ni baiskeli kwa shy)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…