Ila obee wewe hua nakugikiria sijui kijana au mzee maana unavituko kinouma..
Hivi unapajua BAKURUTU YA SHINYANGA?
Siku hizi wewe posta ??Whitney Houston... I always love you... Kwa T wangu... Please Mwambie Obe anivumilie tuuu mpaka nirudi Nitakuwa namdedicate T
Binamu obeee ujumbe wa sakayo huo kwenda kwa mumewe T
Najuaa mama
Pamoja sana wadau
Ngoja nilale mapema maana kuna mechi alfajiri
Man Utd v Man City
Saa 10: 30
Alfajiri
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu acha uchochezi
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Hivi kuna wanaopenda mahb muhenga mie nishajiezekea baba d wangu ananitosha sana na sura yake ngumu ya kiume
Najua baba d wala sivipendi nisameheViserengetiii nshakukatazaa mazoea navyo
Kwangu soka !!!Watu mna moyo aisee usiku wote huoo
[emoji134] [emoji134] [emoji134] basi sirudii tenaSiku hizi wewe posta ??
Binamu me nampenda tu jamaan yaan nampenda yeye tuuuuuu leeUsijue vipi wakati unajua kabisa ulichofanya ukapendwa? Siku ukinisemea ile siri yangu tu kuwa niliendaga kwa mganga naimwaga humu ndani
Nisipajue tena hapo mimi, najua hata ile kona wanayosimama wale waarabu mabonge, opossite kuna kina mama ntilie
Ukiwa unaelekea kusini kuna ile bar inapiga muziki, unataka niseme nini kingine mdau.
Kuhusu umri, mimi ni kijana mwenye mambo ya kizee
Ni mimi peke angu kwani baba dMmmmmmh wewe ndo wa kwanza...
Kwelii sikia kwa jiraniii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatisha ujue baba d na kitambi chako ebu fanya mazoezi ujue tabu unanipa mie
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatisha ujue baba d na kitambi chako ebu fanya mazoezi ujue tabu unanipa mie
Kazi unayo aisee Mm nipo lazi niache kula nicheki muvi la kibabee..Kwangu soka !!!
Naweza kuacha kuzini ili niangalie mpira
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwelii sikia kwa jiraniii
Ila kumbuka mama Doto aka zungu alichokufanya enzii zile
Waaaachee maujingaa yao ., kwani hayo ni majina ??Eti kulwa na dotto ndio majina yao
Ata kitombooo ni wa kwangu binamu jamaanha hahahahaha, hiki kicheko nimeandika mimi, maneno yanayofuata sijaandika mimi na huna haja ya kudhani nimeandika mimi maana naongelea uzoefu sijafanya utafiti
ukiwa na kitambi unakuwa kit.ombi sana, utafiti ni wa anko wangu
Uwiiiiiiii wewe mamaaaaaa weweeeeee[emoji8][emoji8][emoji8] ndio mana nakupenda