UBAHILI HAUFAI
1. Na yule afanyae ubahili na kujifahamu kuwa yeye si muhitaji kwa yeyote, na kukadhibisha jambo jema, basi Tutamrahisishia kupata taabu. Na mali yake haitamfaa atakapoangamia. Quran (92:8-11).
2. Na aepushwae na ubahili wa nafsi yake, basi hao ndio wenye kufaulu. Quran (64:16).
Ya Allah Tuepushe na ubahili ktk nafsi zetu tupate kufaulu mbele Yako. Allahuma ameen.