Karibu ankaliKifuatacho ni leo katika historia
Habari ya asubuhi....
Leo katika historia Italetwa kwenu na udhamini wa Ximena's red Wineambayo lita 1 inapatikana kwa bei ya 12,000 tu inapatikana hadi kwa ujazo wa lita 5
Karibuni sana
Tukutane kesho kwa Udhamini mnono wa Ximena's red Wine
Weka order yako leo ili unywe mvinyo safi uliosindikwa kwa zabibu halisi
Hasta la Vista... Love u all
AiseeLeo katika Historia
1944 - Adolf Hitler ananusurika kuuwawa katika jaribio lilioitwa " Operation Valkyrie "
HBD SantanaLeo katika Historia
1947 - Santana Mpiga gita maarufu toka nchini Mexico anazaliwa.
RIP AbdullahLeo katika Historia
1951 - Mfalme Abdulla wa Kwanza wa Jordan auwawa na Wapalestina baada ya kuhudhuria ibada ya Ijumaa huko Jerusalem.
RIP Bruce Lee, mzee wa peremende una undugu na BruceLeo katika Historia
1973 - Bruce Lee anafariki Dunia.
Mmoja kati ya wacheza martial arts bora wa wakati wote. Pia ni mcheza movie za mapigano.
Leo katika Historia
1973 - Bruce Lee anafariki Dunia.
Mmoja kati ya wacheza martial arts bora wa wakati wote. Pia ni mcheza movie za mapigano.
Da aliwahi kufa sanaAt age of 32 !!!
....
Asante ankali kwa historia bora kabisaTukutane kesho kwa Udhamini mnono wa Ximena's red Wine
Weka order yako leo ili unywe mvinyo safi uliosindikwa kwa zabibu halisi
Hasta la Vista... Love u all
MhNishaghairi
Hongera ankali kwa post ya 244444Asante Lee
Nzuri mkuu, za kwakoHabarini za asubuhi familia pendwa
Leo katika Historia
1982 - Okot P. Bitek mwanafasihi toka nchini Uganda anafariki.
Moja kati ya kazi zake ni Song of Lawino. Najua wengi wetu tumekisoma hiki kitabu
Wapo wengi waliowahi zaidi yakeDa aliwahi kufa sana
Ahsante mdauTukutane kesho kwa Udhamini mnono wa Ximena's red Wine
Weka order yako leo ili unywe mvinyo safi uliosindikwa kwa zabibu halisi
Hasta la Vista... Love u all
Leo ulichelewa ila sio mbayaView attachment 546358Kwa udhamini mnono wa mzee wa peremende aka totoz, siku njema
Mtandao ulikata tangu saa 11, mpaka nilipofika mbezi net ikarudiLeo ulichelewa ila sio mbaya
Tukutane baadaye
......