Makapuku Forum

Aisee nimecheka sana namna ulivyowasilisha hii taarifa basi nikaangalia na picha yaani hapa hadi wanashangaa wanajua labda nimeshukiwa na malaika
Huyo mzungu alikuwa akinya porini au kuogelea mtoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.......
 
wewe tena, ningeshangaa usiunge mkono mimi kuachwa. hakuna hata moja ambalo huwa unanisapoti, yaani nikiumia ndo furaha yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: Lee
...sijui kama ni kweli, na wengine wanasemaga eti ukiogelea uchi kabisa (skin dive) huyu papa anabaki kukushangaa tu anaanza kutafuta kioo na yeye ajiangalie kama mnafanana. Haya ni maswali huwa tunaulizana kwenye kahawa
Aisee mtaasisi hiyo ni mpya kabisa, nitajoin kwenye kijiwe chenu cha kahawa [emoji3]
 
pamoja sana, ngoja niandae santuri. Pamoja sana
shukrani kwa 10 kubwa zimenibamba sana, hadi saa hizi najifikira yule jamaa anayefukuzwa na kiboko
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]

Madame S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…