Makapuku Forum

Leo katika historia itafuata baada ya udondozi wa magazeti ikiwa leo ni siku ya jumanne, tarehe 18/7/2017 tutapata kufahamu yale yaliyojiri tarehe kama ya leo miaka ya zamani... Na utakuwa nami Jimena Jimenes a.k.a JJ kwa udhamini wa Tundu Antipas Lissu.... Karibuni sana
 
Kabila juzi kamg'atwa na nyuki
Leo kafanya uteuzi wa IGP labda machale yamemcheza nyuki wanataka kurudi tena
.
.
Shukrani mdau
....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…