Chaguo la
husna muba linakuja kwanza, wewe lako litasubiri sana, yaani leo akichagua wimbo naweka album nzima, akiomba album namletea band nzima, akiomba picha namletea na negative.
Chaguo lako litasubiri hadi Ramadhan ijayo. Kupenda kazi kama ulikuwa hujui hii ndo masterPhD