Makapuku Forum

Binamu kwahiyo video ya rayc umekosa jamaan

Asante sana sana binamu kusikia tu nyimbo nimefurahi sanaaaa [emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10] unajua vile nakupenda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Umetupelekaaa chaka binamu huu wimbo mbona video siyo yenyeweee.....


Kweliii wkend imekuwa tamu


Ha ahhahahahah, huyo aliyetengeneza hii kinywaji anahitaji tuzo ya Nobel.
Halafu wadhamini waliokuwa hawajamaliza hela za udhamini wameathiri bundle na Shunie kakawia kutuma muamala

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…