Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106] DJ kwenye ubora wakoMuziki: Jumapili Tulivu
Natumaini umekuwa na wikend njema sana, umejiandaa vya kutosha kuianza wiki mpya, wiki ya kazi. Na kama ilivyo ada, wiki ya kazi Makapuku tunaiheshimu na hata kama hatuna vocha huwa tunakopa salio all in all kufanya kazi na kupata nguvu ya kurudisha mkopo.
Upande wangu nimefurahika na yaliyojiri tangu asubuhi humu, magazeti na shululu , UF/BBC na anko wangu lee empire , historia na Jimena , kile kicard cha kila siku Sakayo bila kuwasahau makapuku wote ambao tumeshiriki katika mijadala kadha wa kadha. Bitoz tumemmiss leo lakini alikuwepo kwa chati, sala na Shunie imekosekana leo. hakijaharibika kitu.
Natamani nimtaje kila Kapuku lakini uwanja wangu ni mdogo sana, maana nimepewa para tatu tu za kupiga blah blah ila wakati mwingine nikipandwa na wazimu naendaga hadi 5 tegemana na siku au nimekula nini.
Muziki sasa, kuna sauti zinavutia kusikiza, na hutokuwa mbishi (ubishi ni kawaida yako mpenzi msomaji-ndo ujue hilo). Sikiza sauti ya kijana wa kizeenji AT na Stara Thomas, unataka kusikia sauti gani nyingine ufurahi? Ya mzee Jangala?
uwe na wakati mzuri na unajua kabisa Kapuku Forum ni sehemu bora kabisa kwa kuwa wewe upo. Na karibuni wageni wote (nimewasahau majina)
Naomba utanitumia voice note sijaweza kuangaliaaShemela shululu mizengwe time sijui upo live band
[emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10][emoji10] Nampenda shusho mie jamaan
Huyu mama huyuuuu....
......mungu alipo muumba adamu
hakumwacha awe pekeyake
akamfanyia msaidizi wakufanana naye
nyama yake katika nyama zake mfupa wake kati mifupa yake
mwanamume ataacha wazazi wake ataambatana na mkewe mwanamke ataacha wazazi wake ataambatana na mumewe
hawa wawili watakuwa mwili mmoja kwani nia moja washirikiane kwa pamoja
mambo haya matetu yawe ngao kwa upendo wenu eeeh hee hee hee
mambo haya matetu yatumike katika ndoa yenu eeh hee hee hee
nakupenda(mpenzi wangu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe wangu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika)nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi)asante(kwa kunichagua niwe wako)asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante(asante mpenzi wangu)asante
tuzishike sheria za mungu tutapona eeh tutapona eeh
tusikilize wenye hekima tutapona eeh tutapona eeh
kama kujenga watu wawili mimi nawewe tutunze ndoa yetu eeh
tusisikilize walimwengu hawana wema hawana wema hao
tupate kwa neno tulichuje lililo jema liwe letu
mpenzi wangu
nakupenda(mpenzi wangu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe wangu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika)nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi)asante(kwa kunichagua niwe wako)asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante(asante mpenzi wangu)asante
Shukran kwa burudani murua Obe jorowe
Tuliaa utaelewaa ...sijailewa makapuku forum, mnielekeze ni mnajadili humu mana nasoma sielewi
Jickie nyumban ruksa kuchangia chochoteAsante sana mkuu
Hivi nafanyaje nimeongea nae sana yaan sana mpaka ilipofikia acha tuNa wewe umemkubaliaa ??
Yeee kampenteeeeeeeeee.....asalaaaaareeeeeeeeehShululu yupo moshi alitaka kumsalmia Sakayo so amemwambia aende waonane mwenye mkewe kachukia
NilionaaaKweli kabisa mpendwa wa binamu kumbe uliona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] hy shedy bwana da eti anamgeza mahondaw
SawaSio ukweli ila mm simo make nakumbuka milimute...
Ila hamna mtu nusu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaa a, hata hili songi nalo unalijua
Hivi mimi na wewe tutaendana kweli? Yaani unajua mambo ya kimungumungu wakati mimi ni mtu wa mataifa.
(Msifanye nikatalikiwa)
Anyway moyoni najua tunaendana kama sumaku , una mvuto unanivutia
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Tuko pamoja aunt , na kama unamkwaza anko wangu wala usisumbuke unamjua. Dadaake ambaye ni mama yangu alimpaga ng'ombe hizi, tatu, si hakuridhika akataka apewe zizi zima
Karibu sanaNi mara ya kwanza kuja hapa
Nakwambiaa mwaka huu tutaona mengiiMpendwa wa dj obe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli ujueHivi jamanii jana si nilikuambia ulikuwa utani wa binamu ndo alikuwa na simu
Binamu unataka shunie wangu anichukiee....njooo ujibu tuhuma
PachaaAsante kwa burudani
Ahahhah poleni sanaNdio T kachukia
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Hivi nafanyaje nimeongea nae sana yaan sana mpaka ilipofikia acha tu
Ndio hivyoWeee...[emoji15] [emoji134]