Wanachezaa wapiiiKikosi cha Taifa Stars kitakachoanza dhidi ya Rwanda Leo
1:Aishi Manula
2:Shomari Kapombe
3:Gadiel Michael
4:Nurdin Chona
5:Salim Mbonde
6:Erasto Nyoni
7:Simon Msuva
8:Himid Mao
9:John Bocco
10:Mzamiru Yassin
11:Shiza Kichuya.
Wachezaji wa Akiba ni.
1:Said Mohammed Ndunda
2:Salim Hoza
3: Boniface Maganga
4:Hamim Abdul
5:Rafael Daud
6:Joseph Mahundi.
Kweli mke mweeeMbududa ndio kila kitu siku zake mbili tu anamaliza mzigo
Mpm shunie akusaidie ndo mtaalamu wa azam[emoji4] [emoji4]Azam wanazingua nimelipia tangu saa 5 asubuhi ila bado kimya tu
Ndo najipanga kuwatafuta
......
OsieAsante dadake na mimi
Mdogo wa mama AshuraAhahhaha nani atavaa sasa
Kisa utanii wa hapa ndo kumemkimbizaa ??[emoji134] [emoji134] [emoji134] vibaya hvooo
Kila la kheri taifa starzKikosi cha Taifa Stars kitakachoanza dhidi ya Rwanda Leo
1:Aishi Manula
2:Shomari Kapombe
3:Gadiel Michael
4:Nurdin Chona
5:Salim Mbonde
6:Erasto Nyoni
7:Simon Msuva
8:Himid Mao
9:John Bocco
10:Mzamiru Yassin
11:Shiza Kichuya.
Wachezaji wa Akiba ni.
1:Said Mohammed Ndunda
2:Salim Hoza
3: Boniface Maganga
4:Hamim Abdul
5:Rafael Daud
6:Joseph Mahundi.
Unachojaribuu kukifanya ni uchocheziiiMdogo wa mama Ashura
Wengine hawajckii vizuri utani ukizidiKisa utanii wa hapa ndo kumemkimbizaa ??
CCM Kirumba a.k.a Chato CityWanachezaa wapiii
Wazungu shebe inawasumbua sana dah
Ila we kwa kuchapia huna mpinzani bara wala visiwani aiseeUmenikumbusha kitu kilinipi pia
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] na wafungweeeeCCM Kirumba a.k.a Chato City
......
Ciogopi mipasho mmUnachojaribuu kukifanya ni uchocheziii
Ngoja nimuombe binamu akuwekee taarabu ya mipashoo
Ngoja mama D atatupelekaaWengine hawajckii vizuri utani ukizidi
Kama vipi watapike hamia DSTV [emoji12] [emoji12] [emoji12]Azam wanazingua nimelipia tangu saa 5 asubuhi ila bado kimya tu
Ndo najipanga kuwatafuta
......
Mtu mwenye njaa mbwembwe atoe wapi hata kuongea tu ni kwa hasiraWazungu shebe inawasumbua sana dah