Makapuku Forum

Ni wapumbafu lakini wametutawala kwa kila kitu sababu Waafrika hatujitambui wala kutukuza vyetu
Hatuwezi kuwadharau wakati hadi vyupi tunavyovaa vimetengeneza na watu weupe(hata Wachina nawahesabu ni weupe)
......
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sijui tumelogwa na nani thithiiii[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]
 
R.i.p Bradley
 
2/Michael Jackson
Nani asiyeijua staili yake ya uchezaji iitwayo Moon walk?
Namzungumzia Wacko Jacko kakaye Janet Jackson aliyezaliwa mwaka 1958 na kufariki dunia 2009 akiwa na miaka 50....alikufa ila bado yupo mioyoni mwa watu na jina lake halitafutika kwenye orodha ya wanamuziki bora wa muda wote pamoja na kuwa na maisha tatanishi
Alianzia muziki kwenye kundi la familia Jackson 5 amvbalo ni la wabandugu watupu na hapo wakatisha bila vinyago na kwake ndo mlango wa kuelekea kilele cha mafanikio
Tafuta tu Thriller au Billie Jean
.....
 
Alikuwa na imani kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…