Tetesi za usajili ....leo kapuku hotel kamaliza msosi mapema wengine tutakula jioni
Nakuona kaka na kaitel kakoMko poa jamani
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
[emoji121]Wanawake mliozaa humu nyoosheni vidole..
Nina jambo nataka mnieleze
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Punguzeni basi..
Au na mimi nianze kuandika kiarabu huku..?
Tanga mojaHabari wanayo wakataa kwao najivunia kuwa msambaa jaman
Ukubwa Wa zenji ni sawa na ukubwa Wa mbagala
Zanzibara nchi kama wilaya..
Shukrani kwa tetesi za usajiliWakuu mi sina la kiada tuonane baadae ...
[emoji122] [emoji122] [emoji122] mchana naona pamechangamka japo sijapitia pages
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Mie naona nitakuwa wa kwanza mke mwee halaf kule season 6 imeshaisha kwa lege mambo ni motooo
Yupo kwenye mitala ni bi mdogo ati[emoji108] [emoji108] [emoji108]Kwani kulikoni shem
Akina wachu na nyinyi hampo nyuma leoNilimooo chane
Kwani ww ni mzee[emoji134] [emoji134] [emoji134]Wewe mtoto unatakiwa uheshimu wazee wako [emoji2]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Sasa hilo ni la kuomba ushauri we unaonaje kwani
Pole na kazi mume wanguNaleft...
Byeee
Analia nini kumbePole T jamaan