Makapuku Forum

Ahsante mdau
Sihitaji hata kuangalia kwenye TV

Asubuhi njema
.......
 
Darasa huru la kapuku .... (DHK)


Mambo mazuri yanapatikana kwetu kuanzia utani , elimu na kila kitu kinachohusu maisha kinapatikana ....wengi wanaingia kupata mambo adimu ili kuwasaidia na sisi kutusaidia ...

Kwa nini tusiwe na kakipengele kama haka ....Darasa huru la kapuku kila mtu kuweza kutushirikisha alichonacho najua wapo wataalam wa sheria , uchumi ,mapenzi, maisha , n.k...mfano mda mzuri wa jioni baada ya kumaliza zile ratiba zetu tunakuwa na kitu kama hiki ....na kuruhusu kuuliza maswali mbalimbali na kusaidiana kujibu ....ila yasiwe maneno make humu na wanasiasa wapo wengi tunahaidiana na kuishia hewani...

Ni wazo wala sio upuuzi wa lee ...

Naweka mfano wa mistar michache soon
 
Ahsante mdau
Tulimiss nukuu zako
......
 
Mfano ...DARASA HURU LA KAPUKU

JE WAJUA UBONGO WA BINADAMU UNAKUWA ACTIVE KIPINDI UMELALA /KUSINZIA KULIKO UKIWA MACHO ??

Ni ukweli husiopingika kuwa ubongo wa binadamu unakuwa active sana mda wa usiku au umelala kulinganisha na kipindi hujaupunyuaa ....ndiioo hujalala

Wewe ukiwa unajua umelala kumbe ndo ubongo uko bize kuliko unavyozania hii ni kutokana na ukweli kwamba neuronal system ambazo ndo zinahusika sana na hii hali zinakuwa active kuliko ....isodentritic core ambazo zinastretch kuanzia kwenye medulla kwenda mpaka kwenye hypothalamus hadi kufikia ubongo wa mbele zinasaidia sana .....


Ni mfano tu wa DHK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…