Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
KigamboninooooAm flattered, nashukuru aunt yangu wa ukweli. Furaha yako anaifurahia anko wangu na Mimi ndo nafurahia pia.
Mwenyewe zama za kina Mzee Jangala so utajua kabisa rtd ndo ilikuwa mpango mzima.
Nakupenda pia, sana tu na hasa unaponihakikishia kwenda kuleee (sipataji maana nishaanza kupata wasiwasi watu watatangulia kabla yetu)
Tulioshia LA saba tuna shida sanaTangu ujue nnno moja tu la kiingereza umekariri imekuwa shida
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
......
Nakwenda ndiooooKwendaaaa zakooo
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Si Husna?
Au nilikosea
.....
[emoji4] [emoji4]Tunataka uzi... Mlipo takana mlileta uzi.
Huyo atakuwa yuko rufiji au ikwiririHa hahahahaah, sasa nani akaanzishe uzi? husna muba au shedede
Afu we jamaa una fitna sana, unaishiri Rufiji eeeh
Pole mpendwa nilibanwa kiduchuuMpendwa wangu mwenyewe, mbona kimya sana hadi napata homa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunataka uzi... Mlipo takana mlileta uzi.
me mbona nipo msimbazi jaman halaf imekuaje huo ubabu[emoji15] [emoji15] ukaka huukundaMarahaba Mjukuu wangu... Karibu msimbazi.
woyooooooooo binamu come this way mpendwa wako kakuloveI love him
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Husna! Uko poa mpendwa/mpenzi wangu
Leo umekuwa mdogo km piritonTulioshia LA saba tuna shida sana
Huwa tunatakaga na sie tuonekane tunajua ngeli kumbe bogaz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
woyooooooooo binamu come this way mpendwa wako kakulove
..huyu atakuwa ni mhenga aliyesema mwendapole......
Mimi nimezeeka bwaname mbona nipo msimbazi jaman halaf imekuaje huo ubabu[emoji15] [emoji15] ukaka huukunda
Binamu hivi nikuunge wapi sasa kwa mpendwa wako au kwa mama yangu mama mchuchu sikuelewi ujueUmeanza, wewe siyo wa kunifanyia hivi. Unapaswa kuniunga mkono na kiwiliwili. Ujue wewe aunt yangu kabisa
Watu na mahaba yenu woiiiiiiiiiiPicha huongea