Makapuku Forum

Bro huyo sumbai na Youngblood wananisarandia Sana achana nao
youngblood na sumbai mnakosea sana ukitaka ufanikiwe kumpata dada mtu jenga urafiki na kaka mtu kwanza...Sister hana noma naweza muambia sister leo twende club then tukiwa kule tunajifanya ndiyo tumekutana kwa bahat mbaya then unapata fursa ya kutema madini..
 
Hii technique itamfaa sumbai sababu hana swaga.
Mimi ni mtu wa kutafuta mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…