youngblood amekimbiwa na shem Nahrene kisa hajui kumpetipeti mwanamke, jamaa ameshachanganyikiwa na kujikuta anapalamia hovyo mashemeji zake kwa kuwaita 'shemdarling'.
Goodmorning Guyz ni asubuhi ingine mwanana kabisa huku nilipo toka usiku kunanyesha mpaka mida hii..Hali hii ya hewa inaongeza amasa katika kupiga kazi kwa bidii..Niwatakie Asubuhi njema wote..