Kuna tatizo mdau,Shunie kaaga asubuhi anatoka kwa muda,atarudi..ukweli imetushtua kutokana na mazoea na namna Shunie alivyo mshiriki mzuri,nilitamani kujua sababu hajaiweka wazi kwa mtu yoyote,kila mtu amekua anauliza so tumeona jambo jema tumuombee..kuna wakati mtu anahitaji time alone..imsadie kumpa amani na kuweka mambo yake sawa kiakili,kiroho nk hivyo tuungane kumwombea apate amani..asante