Morning wapenzi hope mmeamshwa salama nawamiss sana jamaan
Natoka kidogo jf tutaonaona nikirudi kama baada ya week au viweek kadhaa nitazidi kuwamiss
Mungu azidi kuwaweka tupo pamoja
Mama mchuchu nilimpa sakayo ujumbe asubuhi naomba umtumie no yako mama nakupenda sana
Mungu awabariki sana sana
Kapuku kwangu ni zaidi ya familia