BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nakuombea..kama unafunga na kuomba ili Mungu akupe majibu tushirikishe...naamini kuna jambo unaenda kulileta kwa siku tatu.popote ulipo kaka Mungu akutangulie.Wakuu kumekucha salama Jana nimeahidi kutoa msimamo wangu juu ya kuto kumwona afande shedede
Sasa nimeamua kuto kuingia jukwaani hapa kwa siku tatu
Kuonyesha kuwa alicho kufanya husna kumtelekeza afande wakati aliacha kazi kwaajili yake ili awe karibu nae sasa katelekezwa
Na mzee wa saa mpya umejichukulia shemeji yako bila hata kumhurumia afande na maumivu yake
Leo nasema kuwa tu kila jambo na wakati wake Fanya kila kitu kwa manufaa ya Leo na kesho
Nawaacha na utafiti hewa : uvivu wako ndo chanzo cha umaskini wa familia yako
Asante LeeWakuuu kumekucha salama ...soon UF na dondoo za bbc
Mawasiliano..tunatamani kusikiaDondoo za bbc. .
Polisi nchini Ujerumani wapambana na waandamanaji usiku wa kuamkia mkutano wa mataifa yenye nguvu kubwa kiuchumi wa G20.
Wakati Mahakama nchini Kenya ikitarajia kutoa uamuzi juu ya zabuni ya karatasi za kupigia kura, Tume ya Uchaguzi nchini humo lawamani.
Wataalam wa Mawasiliano kutokana sehemu mbalimbali za Dunia wanakutana jijini Dar es Salaam kujadili masuala yanayohusu wakulima wa Tanzania.
YES!UNYWE KWA AJILI YA KINGA SI ULEVIUnbelievable facts. ..
Hahahaha waogeleaji..mjipange
Kweli viongozi hapa Afrika kung'atuka kwao ni mpaka wang'atuliwe
Is it medicine?what make it called tree of life?
Shunie atakuwa na maelezo kamili
Hahaha mpenda wanyama nimewahi kutana na binti mmarekani wa tabia hii,kununua mnyama na kumset free..hata nyama hali sio kua ni vegeteriana NO ILA ANAWAONEA HURUMA
I see to fear fear its a fear
Hongera zake ,yuko vizuri
Shukrani sana mkuu kwa magazeti ya leoView attachment 537072Kwa udhamini mnono wa Chaplin Nawatakieni wote siku njema
Hongera kwao ..ila wanatakiwa zaidi poverty is still here
I see,sio hatar kweli..likiporomoka..Mungu awalinde