Muziki: Wingu Limetanda
Hivi ni mara ngapi kapuku mwenzangu ulishamwambia asante yeyote anayeifanya siku yako kukamilika kwa uzuri kabisa? Najua unatafakari hili maana nami nilikaa na kulikumbuka sana jambo la kushukuru. Unaweza kushukuru kwa namna tofauti, kwa hali na mali, kwa tabasamu na kupeana tano. Vyovyote vile, kutoa shukrani ni jambo la kiungwana na kwa sababu hiyo kwanza kabisa nakusalimia na kisha nashukuru kuwepo hapa. Unapafanya KF pawe sehemu bora kabisa.
Kushukuru, ndo ninachoongelea leo kwa ufupi, jiangalie nywele zako zilivyopendeza, msusi kafanya kazi yake, angalia mikato ya nywele, kinyozi kafanya kazi, angalia kiatu kilivyong'aa, shushaina kachukua muda wake kukiwakisha. Umeenda kula hotel, meza imesafishwa chakula kimekuja kwa wakati na maji umeletewa. Umepanda daladala, bodaboda au express umefika unapoenda. Unakumbuka kuwashukuru hawa watu.
Upande wangu sasa, hata kama huwa siwashukuru kivile lakini nakuambia ukweli kabisa, nikiendaga bakulutu na bendi ipo basi mpiga gitaa, mpiga ngoma, mwimbaji basi watacheka na buku buku au jero au wakipumzika watagonga moja moja watengeneze sauti.
Nimeongelea Bakulutu, machozi yamenijaa usoni hata lee empire mjomba wangu anajua kabisa kuwa Shaaban Dede ambaye ni jirani yake katutoka, ni msiba wa Kitaifa nyimbo zake zinajulikana na wengi. apumzike kwa Amani Shaaban Dede.
Angalia clip hii ni mahojiano yake na star TV enzi hizo mkorogo kwa watangazaji unafanya kazi yake sawasawa
Kumbuka kutip hata kama unalipia huduma ya watu niliowataja pale juu. Naamini unajua kabisa wanacholipwa
Asante mkuu
Ucjal mpendwaTaarifa ya Matatizo ya Kiufundi
wadau, nasikitika kwa kipengele cha Muziki kutotimiza lengo lake kikamilifu. Maandishi yalikuwa sahihi sema muziki ulitatiza, nilifanya ninachofanya kila siku kuweka muziki.
Nimekuwa na experience some net interruptions na ninajaribu kufuatilia hiki maana kinanikosesha mambo mengi ikiwemo kipengele hiki ninachokipenda.
Naiweka tena clip hii (YouTube) ya historia ya Shaaban Dede
Naamini itakaa sawa sasa
Nawashukuru sana lee empire , shululu ,BlessedHope , Tumosa , husna muba kwa kushare nami mlichokutana nacho. Na wadau wote mnaofuatilia KF
Ndio imecheza vizuri tuImecheza sasa, au?
Ndio imecheza vizuri tu
Na kwako pia sikiliza blues upate usingizi mnonoNashukuru kwa taarifa. Usiku mwema kwako wangu
Asante ObeUcjal mpendwa
Asante Obe kwa music [emoji445]Taarifa ya Matatizo ya Kiufundi
wadau, nasikitika kwa kipengele cha Muziki kutotimiza lengo lake kikamilifu. Maandishi yalikuwa sahihi sema muziki ulitatiza, nilifanya ninachofanya kila siku kuweka muziki.
Nimekuwa na experience some net interruptions na ninajaribu kufuatilia hiki maana kinanikosesha mambo mengi ikiwemo kipengele hiki ninachokipenda.
Naiweka tena clip hii (YouTube) ya historia ya Shaaban Dede
Naamini itakaa sawa sasa
Nawashukuru sana lee empire , shululu ,BlessedHope , Tumosa , husna muba kwa kushare nami mlichokutana nacho. Na wadau wote mnaofuatilia KF
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nimwambie ama?Asante Obe
Pole,ubarikiwe asante sanaPole BH, naangalia tena nione namna gani nitakirudia hicho kipindi.
Net kwangu inasumbua . Ngoja nione tena
Amen kwa niaba yakePole,ubarikiwe asante sana
Kafanyaje?!Andha kaanon
Nataka kufanya humu nilikuwa nasubiri mlale wooote
[emoji2] [emoji2] [emoji2] usafi mpendwaNimesikiliza ulichoshauri, ndo kwanza usingizi unapea.
Ulitaka kufanya nini?