BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nafahamu ila kitu cha kwanza watu wakikutana hutambulisha majina,kabila,unakotoka,unapoishi,familia...ndio maana nimeshangaaHuyu mpendwa wangu bwana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji35]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Haaaaahaaaa thubutu
[emoji35]
Haina maua?Simu aliyonayo namuonee huruma. ...
Nisamehe binamu ntakubadirishia simu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mjomba yaani wewe unataka niwehuke kabisa, yaani unajua kabisa nikipata maua toka kwa BH mtanikamatia Kibiti, mbio zake chizi au harmorapa kasingiziwa. Zitakuwa mbio za furaha lakini😀
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkwe kauzu kweli wewe
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hata sasa unafuraha...huwa nakufurahia sana..Mungu akutunze Obe.unaishi katika mioyo ya wengi..Asante kwa upendo
YeahMwisho wa reli
Uongooo hata hajasema km anampaaaSema taratibu wabaya wetu wasisikiee ...kasema anakupaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mama si umpe maua japo moja tuu [emoji120] [emoji120]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mama mchuchu unaongea na mm au ??
Uongooo hata hajasema km anampaaa
Wasalimie gamboshi hapoo....okay, hapa mkoa pendwa Shy
Uchungu Wa mwana aujuaye mzaziDawa ni AMANI YA MWANANGU
Wasalimie gamboshi hapoo
Hayo yalikuwa zamaniiiiiNafahamu ila kitu cha kwanza watu wakikutana hutambulisha majina,kabila,unakotoka,unapoishi,familia...ndio maana nimeshangaa
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji2] [emoji2] [emoji2]
Cheka tu shem[emoji3] [emoji3] [emoji3] shemeji imebidi nicheke tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afu unajuaga kunichekesha yaani daUsisikilize maneno ya watu, hasa mjomba wangu.
Nitumie maua tafadhari, hivi unajua upendwa na kupendana kunaendana, inakuwa kupendwana. sasa sisi ni wapendwana, na mashabiki watuite wapendwanao