Makapuku Forum

Mjomba yaani wewe unataka niwehuke kabisa, yaani unajua kabisa nikipata maua toka kwa BH mtanikamatia Kibiti, mbio zake chizi au harmorapa kasingiziwa. Zitakuwa mbio za furaha lakini😀
Hata sasa unafuraha...huwa nakufurahia sana..Mungu akutunze Obe.unaishi katika mioyo ya wengi..Asante kwa upendo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…