Makapuku Forum

Asante Obe ubarikiwe
 
[emoji523] BABA asante kutuamsha salama tutakase,tuponye,tuhuishe tupe njia njema ya kukupenda na kukuheshimu..tunajikabidhi mikononi mwako siku ya leo tuondoe katika hatari mbalimbali na ajali mbalimbali..ponya wagonjwa,fariji wafiwa watie moyo waliovunjika moyo.Neema yako yatosha..tunaomba yote katika jina Yesu Amen

MCHANA MWEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Ameni kwa sala dada ubarikiwe
 
Aminaaa mama mchungaji ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…