Makapuku Forum

Woyooooooo zilipendwa wa dada angu mie kama nakuona huko unavyofurahii umekulapo mahela yake na wewe lipa fadhila ujue
 
Ni changamoto kwa kweeli
Hii tabia nilivyo toka huko nilipata nafasi ya kutembelea baadhi ya viwanda vilivyopo pwani nikaona wanao Fanya kazi kwenye hivyo viwanda ni wahehe, wasukuma, na wanyakyusa nikauliza wenyeji vipi hawapo kazini wakasema wenyeji ni wataalamu wa kucheza bao tu na porojo nyingi mdomon
 
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Na huo ndo ukweli kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…