Sawa ila ungenipitia tu maana mi naenda kulala kongowe
mwaya wee usikuje mpendwa
Sawa baba watotoBila shaka msimu ujao twende kulima Tanga
Amefariki binamu watu wamepost jeneza lake wakati anasafirishwaOh, pole kwa familia yake. Daktari kathibitisha kuwa kafa?
Hapana aisee... Mwanaume anashinda na msuli... Kazi yao kuubwa ni kucheza bao Ile sijui...Mkuu mi hapa naomba dada shunie atupe jibu
Kabisaa yaaani.. Sema wewe sasa unapotea hewani, nahisi utakuta na tanga limeisha
Ungeniambia unalala kongowe ningekupelekaSawa ila ungenipitia tu maana mi naenda kulala kongowe
Kuumbwa gani huko nimepita mikoa yote ya ukanda huo tabia zinafanana utafikiri watoto wa mama mmoja baba mmojaWatajua wenyewe kaka ndio walivyoumbwa wasubilie tu kulelewa
Bhinamu heshima yakoooKwanza ulipotea sana aunt, pili, nipo sema hii simu niliyogaiwa na anko haina line (chip) yaani ni mwendo wa Wi-Fi tu na hata namba ni ya guglo pekee sasa ndo nimegundua baada ya net kuwa inasumbua. anyway zawadi ni zawadi ila hii zawadi mjomba alikuwa na makusudi binafsi.
haya nimekuja sasa, unasemaje aunt yangu
Bata kavaa raizoniAkiii nacheka sana ujueumekumbuka kuku wako kapanda baiskeli
Sawa mi nitakuwa na hisa kwenye kiwanda chakoNzuri..sasa nina cherehani moja, bado tatu nikamilishe kiwanda
Shemela unanipitia auUngeniambia unalala kongowe ningekupeleka
NzuriiHabari za jioni wapendwa..
Kwakwaaaaakwaaaaaa kweli umemmiss aisee zilipendwaBata kavaa raizoni
Kwa nini tena mdogo wangu... Mr Nice hahahaa... Obe niweke wimbo wangu
Sawa ila ungeomba ushauri mapema tungekushauri ila kwa kuwa umeingia nikutakie maumivu memaVyote vyote
Ndio naingia home nowShemela unanipitia au
Yaani acha tuuKwakwaaaaakwaaaaaa kweli umemmiss aisee zilipendwa